UGAJI BORA WA KUKU WA NYAMA NA MAYAI:
WIKI YA KWANZA:SIKU YA 1 - 6 WAPE:
GLUCOSE BROILER BOOST AUAMINOVIT AU SUPERVITVIGOSTART KWENYE
CHAKULA (KILO 1 KWA MFUKO 1 WAKG 50) KUANZIA WIKI YA KWANZA HADI YA 4
SIKU YA 7
CHANJO YA NEWCASTLE - MASAA 2 TU, WEKA MAJI NA VITAMIN MARABAADA
YA KUTOA MAJI YA CHANJO
WIKI YA PILI
CHANJO YA GUMBORO - MASAA 2 TU, HALAFU ENDELEA NA
MAJI YAVITAMIN
WIKI YA TATU
DOXICOL AU CTC20% NA AMPROLIUM, VITAMIN NA MOLASSESKWA SIKU 5 - 7
WIKI YA NNE
HAKIKISHA KUKU WA NYAMA WANAKUWA KATIKA DOSE KUBWA YAVITAMIN
WIKI YA SITA
WAPE KUKU WA NYAMA MAJI YA VITAMIN ASUBUHI NA MATUPUJIONI
WIKI YA NANE
WAPE KUKU WA MAYAI CHANJO YA NDUIDAWA ZA MINYOO(PIPERAZINE AU
LEKIWORM)VITAMIN AU SUPERVIT LAYERSWALISHE GROWERSMASH AU FARMERS CONCENTRATE
HADI MIEZI 3 NA 1/2 TUMIA LAYERS MASHWAKIFIKA MIEZI 4 KAMILI AU WAPE MAJANI
WIKI YA KUMI NA MBILI
WAPE CHANJO YA NEWCASTLE ( RUDIA KILA BAADA YAMIEZI 3) MASAA 2
KISHA WAPE MAJI YA VITAMIN
WIKI YA KUMI NA SITA
KATA MIDOMO KISHA WAPE NEOXYVITAL KWA SIKU 3-5ANDAA VIOTA
WIKI YA 54
WAPE VIRUTUBISHO VYENYE KUONGEZA WINGI WA MAYAI MFANOGLP ( KILO 1
KWA KILA KILO 50 ZA CHAKULA, WIKI YA KWANZA NA NUSU KWAWIKI ZINAZOFUATA NA
VITAMIN
WIKI YA 72
TUMIA V RID KUSAFISHA MABANDA ILI KUUA VIJIDUDU PIA WEKA MAJIYA
DAWA HII KWENYE DISH YA KUSAFISHIA MIGUU (FOOTBATH) ILI
KUHAKIKISHAUDHIBITI WA VIJIDUDU (BIOSECURITY) NA KWAMBA VIFARANGA
WANAOWEKWAHAWAATHIRIWI NA VIJIDUDU HIVYO.
WIKI YA 96
ONDOA KUKU WOTE WALIOZEEKA