Uwekaji
wa kumbukumbu ni muhimu sana kwa kila mfugaji. Kumbukumbu zinasaidia
katika
kujua mambo mengi kama matukio ya magonjwa, tiba, chanjona uogeshaji,
gharama
za uendeshaji kama gharama za madawa ya tiba, chanjo na uogeshaji, mishahara
ya
wafanyakazi, faida au hasara baada ya mauzo. Kumbukumbu hizi humsaidia mfugaji
kufanya
maamuzi katika uendelezaji wa Shamba Lake.
22
13.1.0 Aina za kumbukumbu
Kumbukumbu
muhimu katika ufugaji wa ng’ombe ni pamoja na idadi ya ndama
wanaozaliwa,
idadi ya ng’ombe,afya ya ng’ombe,kumbukumbu ya mapato na matumizi.
Hata
hivyo mfugaji anaweza kuongeza kumbukumbu nyingine kulingana na mahitaji na
shughuli
zake.
·
Kumbukumbu
ya Ndama wanapozaliwa
Namba ya ndama
|
Tarehe ya kuzaliwa
|
Jinsi
|
Aina/na y a dume
|
Aina /nay a jike
|
Tarehe ya kuachishwa kunyonya
|
Maelekezo
|
·
Kumbukumbu
ya afyaya ng’ombe
·
Kumbukumbu
ya idadi ya ng’ombe .............................................................................................
Tags:
MBINU ZA UFUGAJI
