UZUIAJI WA MAGONJWA YA KUKU
Ilikuweza kudhibiti magonjwa ya kuku uangalifu mkubwa
huhitajika katika kuchagua dawa gan itumike,namna gan itumike,wapi utumike
kiasi gan utumike na wakati gani
Mambo muhimu
- Zuia watu wasiohusika kuku na ndege kuingia au kukaribia mabanda yako
- Hakikisha banda liko katika mazingira safi yasiyofurika au kutuamisha maji
- Ondoa mbolea mara kwa mara ikiwa ndani ya mifuko na tupa mbali na eneo la mabanda
- Wafanyakazi wote wabadilishe nguo na wawe wasafi,wasafishe mikono na miguu yao i.e dawa aina ya virutec
- Dawa ya virutec iwekwe mlangon na kubadirishwa kila wiki
- Mabanda yapumzishwe wiki mbili kabla ya kuweka kuku wapya
- Kabla ya kuweka kuku wapya.safisha mabanda kwa kutumia dawa aina ya virutec
..........................................................................................................................................
Tags:
MAGONJWA YA KUKU