JINSI YA KUSAFISHA NA
KUPIGA
DAWA MABANDA KABLA YA
KUINGIZA KUKU
·
Ondoa mbolea na vitu vyote vilivyotumika(mifuko
ya chakula,makopo n.k) na kuitupa mbali kabisa na mabanda
·
Anza kusafisha dari harafu kuta na kumalizia na sakafu
·
Lowesha vyombo vya kunyweshea maji na kulishia chakula na vifaa vyote vinavyotumika
ndani ya mabanda kwenye dawa aina ya virutec kwa muda wa nusu saa harafu suuza
na maji ya kawaida kabla ya kupiga dawa ya kuulia wadudu warukao na watambaao
ndani nan je ya banda
Kumbuka; Kuweka virutec kwenye
footbath mlangoni kabla ya kuleta vifaranga
Magonjwa yamegawanyika katika makundi
mawili
1.Magonjwa
ya bacteria
- Fowl Tyfoid
- Paratyphoid
- Colibacillosis
- Infectious coryza(Mafua)
- Coccidiosis
- Mycoplasmosis
2.Magonjwa ya virusi
Newcastle (Mdondo)
Gumboro
Ugonjwa
|
Dalili
|
Chanjo/Tiba
|
Newcastle Disease(Mdondo)
|
Vifo vingi vya ghafla
Kuharisha
Hutokea wakati wowote baada ya wiki
mbili
|
Chanjo siku 7 rudia baada ya siku21 na
baada ya wiki 12
|
Gumboro
|
Vifo vya ghafla
Kukunja mbawa chini kujikusanya pamoja
Kuharisha nyeupe
Ugonjwa hutokea kuanzia wiki ya 2
mpaka 18
|
Canjo siku ya 10 mpaka 14
Rudia siku ya 28 na 42 kwa kuku wa
mayai
|
Avian Leukosis Complex
|
Marecks humpata kuku kuanzia umri wa
wiki tatu lakin mara nyingi ni wiki ya 12-24
Dalili ni;kupooza mabawa,miguu kuvimba
na kufa na kuvimba miguu maini wengu na figo
|
Tiba ni Fruquin 1ml/2lita kwa siku
tatu
Nutrivet 5g/20lita
|
TYphoid
|
Vifo vya kuku mmoja mmoja
|
Tiba ni Fruquin 0.5-1ml/lita kwa siku
tatu
Nutrivet 5g/20lita
|
