Mfugaji ni vizuri kujua
kutengeneza chakula mwenyewe ili kuepuka gharama
Pia chakula unachotengeneza
mwenyewe unakuwa na uhakika wa virutubisho vyote ulivyo weka,
Fanya haya kutengeneza
chakula cha kuku
JINSI KUANDAA CHAKULA CHA KUKU
KUANZIA WIKI LA 1- HADI WIKI LA 8.
Mahitaji.
1. Pumba 60kg
2. Mahind ya kuparaza
10kg
3. Mashudu alizeti
10kg
4. Dagaaa 15kg
5. unga wa mifupa 5kg
6. Chumvi ½
7. premix ¼
Mchanganyiko huu kwa jina linguine unaitwa
Chickstarter.
CHAKULA CHA KUKU, KUANZIA WIKI LA
NANE NA KUENDELEA.
Mahitaji
1. Pumba ya mahindi yenye chenga- kg
38
2. Mashudu ya alizeti- kg 7.5
3. Mabaki ya dagaa - kg 1.5
4. Chokaa ya kuku - kg 0. 5
5. Unga wa mifupa - kg 0.5
6. Lusina - kg 2
7. Chumvi - kg 0.25
Mchanganyiko huu kwa jina linguine unaitwa
Broiler
finisher.
Tags:
CHAKULA CHA KUKU