Kuloiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili , ni
mchanganyiko kuku jogoo aina ya broiler
kutoka saso.
Hawa saso wanakuwa na umbo kubwa na kukua haraka kwa
kuongezeka nyama akapandishwa kuku jike wa Rhodes Island Red huyu ana sifa
kubwa ya utagaji mayai mengi
Kwa hiyo kuloirer ni kuku mwenye sifa za kuwa na uzito mkubwa na mayai mengi
Aina hii ya kuku iligundulika nchini India miaka ya 1990 na
mtaalam Dinard couple
Ukiwa mfugaji wa kufuga ili kupata kipato cha kutosha fuga
kuloirer
Sifa
za kuloirer
1. Anakua kwa haraka sana
2. Anataga mayai mengi Zaidi
3. Anakuwa na uzito mkubwa Zaidi ya kuku wa kawida NB;Jogoo wastan kg 5 ktka miez 5
4. Mayai yake na nyama yake ni bora Zaidi,mayai ni yenye kiini cha njano na radha nzuri sana
5. Pia gharama za utunzaji ni za kawaida kabisa
6. Anafugika kisasa na kienyeji
7. Utagaji wake unaweza kufikisha miaka miwili
8. Anauwezo wa kuanza kutaga miezi 4.5 tu
.......................................................................................................................
Tags:
UFUGAJI KUKU