Chakula hiki
utengenewza kati namna ya kumsaidia kifaranga aweze kumeza vizuri na hivyo
hutakiwa kuwa katika punje punje ndogo ndogo.
Hata kama utanunua pumba, ni vema kuzipitisha kwenye mashine
ili ziwe laini zaidi.
Aina ya vyakula Kiasi
(kgs)
Unga wa dona wa nafaka kama mahindi au mtama 40
Pumba za mtama au mahindi au uwele 27
Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 20
Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25
Dagaa au mabaki ya samaki (sangara fish meal) 10
Chumvi ya jikoni 0.5
Virutubisho (Broiler premix) 0.25
Total 100kgs.
Aina ya vyakula Kiasi (kgs)
Mahindi yaliyobarazwa au mtama au uwele 31
Pumba za mtama au mahindi au uwele 38
Mashudu ya alizeti au ufuta, au pamba au karanga n.k. 18
Unga wa mifupa au chokaa ya kuku (DCP) 2.25
Dagaa au mabaki ya samaki (fish meal) 13
Chumvi ya jikoni 0.5
Virutubisho (Broiler premix) 0.25
Total 100kgs.
.............................................................................................................
Tags:
CHAKULA CHA KUKU
