DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU MAGONJWA TOFAUTI YA KUKU
Zipo
dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya
vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii
taelezea baadhi ya dawa hizo.
Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo "Fowl Typhoid" ni Kitunguu swaumu
Kuandaa
•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu
•toa maganda.
•Kisha twanga
•changanya na maji kiasi cha lita moja
•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.
..........................................................................................................................................................