Sungura ni wanyama wastahimilivu wa mazingira mbalimbali kiasi cha kushindwa kuugua ovyo kama ilivyo kwa wanyama wengine wa kufuga, lakini wanyama hawa ni laini, kiasi
ambacho wanaweza kuwa katika hatari ya kukumbwa na magonjwa yanayochanganya, hata kama watatunzwa vizuri namna gani.
Kama ilivyo kwa hali yoyote ambayo inaweza kuwaathiri sungura wako au mnyama mwingine wa kufugwa, kulitambua tatizo mapema na kulishughulikia haraka kwa kuwatibu
linaweza kuleta mabadiliko makubwa kuhusu kuishi kwa sungura wako na kupona kabisa.
linaweza kuleta mabadiliko makubwa kuhusu kuishi kwa sungura wako na kupona kabisa.
Sungura siyo wanyama wanaokula nyama wala si wanyama hatari na mara nyingi wako hatarini kuliwa na wanyama wengine. Kwa sababu ya hali hiyo, sungura pia wanaweza kupatwa na maumivu au ugonjwa, na kuonyesha dalili ambazo zinaweza kuwa ishara kwa wanyama hatari kuwashambulia.
Ninazungumzia kuhusu asili yao ya kuishi porini n ahata unapowafuga.
Ninazungumzia kuhusu asili yao ya kuishi porini n ahata unapowafuga.
Hii inamaanisha kwamba ni vigumu kwetu kama wafugaji wa sungura kubaini kwa urahisi wakati mambo yanapokwenda mrama, na kujifunza kuhusu baadhi ya dalili za mwanzo
za tatizo kunaweza kuwa changamoto ya kujifunza kwa undani.
za tatizo kunaweza kuwa changamoto ya kujifunza kwa undani.
Baadhi ya matatizo ya msingi yanayowapata sungura ambayo yanaweza kuwa vigumu kuyatambua katika hatua za mwanzo, na jinsi ambavyo unaweza kuyagundua.
1. Kudhoofu na kukonda chanzo cha tatizo hili ni Ukosefu wa
vitamin mwilini. sungura akikosa vitamini mwilini hudhoofu na kukonda hata kama unamlisha vizuri
vitamin mwilini. sungura akikosa vitamini mwilini hudhoofu na kukonda hata kama unamlisha vizuri
TIBA
Wapatiwe vitamini kwa wingi kama vile Amilyte au
vitamin 20% otc Weka kwenye maji yao ya kunywa.
2. Minyoo kuharisha na kukosa hamu ya kula. mara nyingi sungura akipatwa na minyoo mwilini mwake hukosa hamu ya kula hudhoofu na pia huanza kunyonyoka kwa manyoya yake
CHANZO
chanzo kikubwa cha minyoo ni pamoja na Uchafu katika
banda, kuwawekea majani chini badala ya kuning‟iniza na
kutobadilisha chakula kinachobaki
CHANZO
chanzo kikubwa cha minyoo ni pamoja na Uchafu katika
banda, kuwawekea majani chini badala ya kuning‟iniza na
kutobadilisha chakula kinachobaki
TIBA
unaweza ukawapa dawa za minyoo kama vile piperizine au kama minyoo imekomaa basi unapaswa kuwachoma sindano ya Minyoo i.e Ivomectine
3. Animonia, kufa bila kuugua na magonjwa kwa ujumla
Animonia kwa asilimia kubwa husababishwa kutokana na baridi
au uchafu wa banda. husumbua sana sungura wadogo ambao hufa ovyo muda mwingine hufa bila kuonesha dalili yoyote
TIBA
Amprolium changanya na tylodox.
Wachanganyie katika maji na uwape kwa siku 5

4 Fangas za kwenye pua na sehem zingine
tatizo hili nalo husababishwa na uchafu
tatizo hili nalo husababishwa na uchafu
TIBA
unaweza kuwatibu na kuwapunguzia makali ya ugonjwa kwa Liquid paraffin ya kupaka na ant parasite
Mpake sehem zenye ukurutu na kumchoma sindano ya ant parasite
......................................................................................................................
Tags:
SUNGURA