Ukitaka kutengeneza chakula,
Cha kuku wako kupunguza gharama
Ufugaji na Matibabu App: Chicks starter. Wiki 1-8.
Cha kuku wako kupunguza gharama
Ufugaji na Matibabu App: Chicks starter. Wiki 1-8.
Pumba za mahindi 40kg
Mtama Uliosagwa 25kg
Mashudu ya alizeti 22kg
Dagaa walio sagwa 5kg
Damu iliyosagwa 3kg
Unga wa mifupa 2kg
Chumvi 0.5kg
Premix 1.5kg
Vitamins 0.5kg
Methionine 0.25kg
Lysine 0.25
Total = 100kg
Ufugaji na Matibabu App: Grower mash wiki 9-18

Pumba za mahindi 30kg
Mahindi barazwa 20kg
Mashudu ya alizeti 23kg
Dagaa walio sagwa 11kg
Damu iliyosagwa 5kg
Unga wa mifupa 5kg
Methionine 1kg
Lysine 1kg
Chokaa 2kg
DCP 2kg
Chumvi 0.5kg
Premix 1.5kg
Mahindi barazwa 20kg
Mashudu ya alizeti 23kg
Dagaa walio sagwa 11kg
Damu iliyosagwa 5kg
Unga wa mifupa 5kg
Methionine 1kg
Lysine 1kg
Chokaa 2kg
DCP 2kg
Chumvi 0.5kg
Premix 1.5kg
Jumla kg 100
Pumba za mahindi kg 40
Mahindi paraza kg 10
Kumbuka: Majira ya baridi kuwapa mahindi bila paraza
Mashudu ya alizet kg 20
Ngano nzima kg 6
Dagaa waliosagwa kg 12
Damu iliyosagwa kg 5
Unga wa mifupa kg 5
Chokaa kg 4
Lusina 0.5
Chumvi kg 0.5
Layers premix kg 1
Majani au mboga za majani
Mfano. Mchicha,matembele,spinach n.k bila ya kusahau maji safi ya kutosha.
Kwa formula hii km kuku ni mzima hana magonjwa wala minyoo bas wewe kazi yako ni kuokota mayai tu mpaka utachoka mwenyeweee..
...........................................................................................

Tags:
KUKU WA MAYAI