- Lishe mbaya
- Nafasi ndogo
- Vyombo havitoshi
- Kukosa shughuli
- Mwanga mkali
- Banda chafu (Manyoya)
- Ukoo
- Kuweka idadi ya kuku inayolingana na sehem ulionayo.
- Usizidishe mwanga.
- Banda liwe safi.
- Weka vyombo vya kutosha.
- Wape lishe bora.
- Wape kuku shughuli kwa kuwawekea bembea na sehem ya uwazi kwa ajili ya mazoezi.
- Kata midomo ya juu.
- Epuka ukoo wenye tabia hizo
Tags:
KUKU WA MAYAI