Ilikuweza kudhibiti magonjwa ya kuku uangalifu mkubwa
huhitajika katika kuchagua dawa gan itumike,namna gan itumike,wapi utumike
kiasi gan utumike na wakati gani
Mambo muhimu
ü
Zuia watu wasiohusika kuku na ndege kuingia au kukaribia
mabanda yako
ü
Hakikisha banda liko katika mazingira safi
yasiyofurika au kutuamisha maji
ü
Ondoa mbolea mara kwa mara ikiwa ndani ya mifuko
na tupa mbali na eneo la mabanda
ü
Wafanyakazi wote wabadilishe nguo na wawe
wasafi,wasafishe mikono na miguu yao i.e dawa aina ya virutec
ü
Dawa ya virutec iwekwe mlangon na kubadirishwa
kila wiki
ü
Mabanda yapumzishwe wiki mbili kabla ya kuweka
kuku wapya
ü
Kabla ya kuweka kuku wapya.safisha mabanda kwa
kutumia dawa aina ya virutec
.......................................................................
Tags:
MAGONJWA