Mambo yakufanya ili kupata ufugaji kuku wenye faida

https://www.animalscience.care/
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUFANYA UFUGAJI WA KUKU WENYE FAIDA.
 

Image result for kuku picha

Baada ya kuwa mfugaji kufuata taratibu zote katika ufugaji wake wa kuku kwa lengo la kupata faida, ili mfugaji huyo apate faida zaidi kuna mambo muhimu ya kuzingatia hususanI katika kujenga soko lake kama ifuatavyo:-  

1. Lenga soko wakati wa  sikukuu za mwisho wa mwaka na zinginezo ambapo kuku huuzwa zaidi. 

2. Tafuta masoko ili ujenge jina kwa wanunuzi wakubwa. 

3. Jiunge au shirikiana na wenzako kuunda kikundi cha wafugaji (wafuga kuku) ili muweze


  • Kuchanja pamoja kupunguza gharama (kwa wafugaji wadogo)
  • Kutafuta masoko pamoja
  • Kupasiana wateja kama hauna kuku wakati huo


4. Kuweza kujitambulisha katika masoko kwamba Kijiji au kikundi chenu kuku wanapatikana muda wote
...............................................................................................................

Previous Post Next Post