Somo
hili ni mahususi kwa ajili ya wafugaji wote wa kuku, au kwa wale wote
ambao wanapenda kufuga kuku. Kwani mfumo huu ni mzuri na humsaidia
mfugaji kuweza kutengeza chakula ambacho kina virubishio vyote ambavyo
ni muhimu kwa kuku.
Mahitaji.
1. Pumba 60kg
2. Mahind ya kuparaza 10kg
3. Mashudu alizeti 10kg
4. Dagaaa 15kg
5. unga wa mifupa 5kg
6. Chumvi ½
7. premix ¼
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
Mahitaji
1. Pumba ya mahindi yenye chenga- kg 38
2. Mashudu ya alizeti- kg 7.5
3. Mabaki ya dagaa - kg 1.5
4. Chokaa ya kuku - kg 0. 5
5. Unga wa mifupa - kg 0.5
6. Lusina - kg 2
7. Chumvi - kg 0.25
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
................................................................................................................................
................................................................................................................................