Magonjwa
ya ng'ombe
Ndugu mfuatiliaji wa app yetu ya ufugaji na
matibabu leo nataka nikuletee baadhi ya magonjwa
ya ng'ombe .Tutapata kujifunza na kujadili kwa pamoja magonnjwa yanayo sumbua
ng’ombe.
I. MINYOO YA NG'OMBE.
Ugonjwa wa minyoo husababisha hasara kwa mfugaji wa ng'ombe . Utafiti unaonyesha kuwa ng'ombe wengi wanaathirika na minyoo hiyo hupunguza uzalishaji. Aidha utafiti unaonyesha kuwa tatizo la minyoo kwa ng'ombe limeenea hapa nchini kwetu.
(i) AINA ZA MINYOO.
Minyoo inayoathiri ng'ombe imegawanyika katika makundi mbalimbali kama ifuatavyo;

Dalili za ng'ombe mwenye ugonjwa wa minyoo.
v Kupoteza uzito
v Kukosa hamu ya kula
v Kuhara
v Kupungukiwa na damu
v Kuwa na homa
v Afya yake kufifia na hatimaye kufa
v Tumbo kuwa kubwa kupita kiasi (ndama).
Namna ya kutibu.
Wanyama wapewe dawa za kutibu minyoo mara kwa mara.
Mfano:
v NILVERM
v PIPERAZINE
v
THIABENDAZOLE
v
OXYDOZIDENE
KUMBUKA;Haya yote yanapatikana katika maduka ya mifugo
yaliyo karibu nawe
Madhara ya minyoo.
1.
Husababisha upungufu
wa damu.
2.
Husababisha upungufu
wa maziwa.
3.
Ng'ombe huweza kufa.
.................................................................................
Tags:
DAWA ZA MIFUGO