Mambo muhuimu kuzingatia katika uleaji wa vifaranga



                               MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KULEA VIFARANGA

Ufugaji umekuwa unaokubarika  katika jamii

Wafugaji wanapaswa kuzingatia mambo muhimu katika kulea vifaranga hususani mara vinapofika tu mpaka vinapo maliza ratiba ya chanjo za awali ambazo ni Newcastle&Gumboro kwa kufuata mpangilio.

Mtiririko wa kuvipokea vifaranga toka vina anguliwa mpaka mwezi mmoja(day zero)a

1)      Andaa banda kabla ya kupokea vifaranga kwa kufanya disinfectant(kupulizia dawa i.e V-RID)

2)      Andaa joto linalofaa katika chumba maalum chenye bluda-kitunza joto chenye mduara sahihi kutokana na wingi wa vifaranga

3)      Sehemu ya banda hakikisha ni kavu

4)      Siku ya kwanza vifaranga wapate chanjo ya mahepe(mareks) hii mara nyingi vifaranga huchanjwa wanapoanguliwa

5)      Siku ya saba kuku wachanjwe chanjo ya kideri(Newcastle)

6)      Siku ya 14 kuku wachanjwe chanjo ya Gumboro

7)      Chanjon ya kideri irudiwe siku ya 21

8)      Chanjo ya  gumboro hutakiwa kurudiwa tena baada ya siku 28

Baada ya mwezi mmoja kuku wako unatakiwa kuchanja chanjo ya ndui(fowlpox                                                                                

Zingatia:Kwa na dawa za vitamin pamoja na antibiotics kwa magonjwa nyemelezi
Previous Post Next Post