
Karibu sana kwenye Website ya Animal Science and animal care. Hii ni website ya kwanza ya kukupa habari za mifugo, Hapa utajifunza mambo mbalimbali kuhusiana na mifugo pia tunatoa huduma za ushauri kuhusinana na mifugo unayofuga ili ufuge kibiashara zaidi.
Ukiwa na Tangazo unataka tukutangazie kwenye website hii ni bei ndogo sana wasiliana nasi kwa haraka kupitia email hii mshindostore.tz@gmail.com utajibiwa kwa haraka sana. Unachotakiwa ni kuelezea nini unataka kutangaza mfano kutangaza biashara, huduma au kutangaza blog au website ili ijulikane na watu wengi zaidi.
Vitu vizuri share na marafiki. Watumie marafiki anwani ya website hii ambayo ni www.animalscience.care . Watumie kwenye magroup ya whatsapp facebook na kwingineko ili nao waje kufaidika na habari zinazoandikwa kwenye website hii ya kwanza kwa kutoa huduma bora za mifugo Tanzania. Ukiwa na maoni comment hapa chini, Siku za mbeleni tutawaletea app ya website hii ambayo itakuwa rahisi zaidi kutupata kupitia simu za mkononi na utajulishwa kila tukiandika habari mpya kwenye mtandao huu kama utaweka app ya website hii kwenye simu yako siku ikiwa tayari
...................................
Tags:
MBINU ZA UFUGAJI