Sasa


DALILI ZA KUKU MGONJWA.

https://www.animalscience.care/
DALILI ZA KUKU MGONJWA. 
🐓🐓🐓🐓🐓
✔️ Huzubaa 
✔️hujitenga na wenzie 
✔️hujinamia chini muda mwingi 
✔️ hali chakula na kunywa maji vizur 
✔️ Hujikunyata 
✔️Utagaji wa mayai hupungua au kukoma kabisa 
✔️ hutetemeka 
✔️Hutembea kwa shida 
✔️Huhema Kwa shida 
...................................................................
Previous Post Next Post