MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU :
Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specifi yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama kama Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants)
Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu kama vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis
Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa (Vijidudu) ya mifugo (wanyama) ambayo pia huwashambulia binaadamu
| UGONJWA | CHANZO | HUENEZWA NA | UGONJWA KWA BINADAMU | JINSI YA KUEPUKA | |
| 1 | Kimeta (Anthrax) | Wanyama wenye vijidudu | Nyama ya mzoga/ wagonjwa | – Homa – Kuharisha – Vifo | Kutokula mizoga na wanyama wagonjwa |
| 2 | Beef measlep (Tapeworms, tegu) | Wanyama wenye vijidudu | Nyama | – Tegu (Tapeworms) | – Nyama ikaguliwe – Nyama ichemshwe na iokwe vizuri |
| 3 | Rabies (Kichaa cha umbwa) | Wanyama wenye vijidudu | Kuumwa na mbwa wenye kichaa | – Hydrophobia – Paralysis | Chanjo kwa mbwa |
| 4 | Echinococcus -Tegu mbwa (tapeworms) | Wanyama wenye vijidudu | Mayai kupitia mikononi, chakula | – Hydrated disease – Kuvimba ini, macho – Kuharibika ubongo | – Mbwa wapewe dawa za minyoo – Kuondoa kinyesi cha mbwa mara moja |
| 5 | Salmonellosis | Vijidudu kwenye nyama, mayai na maji vijidudu Kwenye nyama, mayai na maji | – Typhoid | – Kujiepusha kula mayai kutoka pathogen free flocks – Usafi wa mayai – Meat inspection | |
| 6 | Colibacillosis | Vijidudu kwenye maji, vinyesi vya wanyama | – Kuharisha | – Kuchemsha maji, maziwa | |
| 7 | Mastitis (Kuvimba chuchu) | Kunywa maziwa | – Scarlet fever (Soar throat) – Mafundofundo shingoni | – Kuchemsha maziwa | |
| 8 | Brucellosis (kutupa mimba) | Kunywa maziwa | – Homa ya vipindi – undulated fever – Malta disease | – Kuchemsha maziwa | |
| 9 | Homa ya kasuku (Parrot fever) Avian chemydian | Kuvuta hewa | – Pneumonia – Kuharibu mimba (wanawake) | – Kuvaa nose musk wakati wa huduma |