Paa lazima liwe juu vya kutosha ili lisiliwe na ng’ombe kama limetengenezwa kwa nyasi au hay inahifadhiwa chini yake.
Vyumba lazima vijengwe kiasi kwamba ng’ombe anabakia msafi muda wote.
Safisha na weka viuatilifu kwenye sakafu kila siku. Hii inazuia kuoza kwa kwako na nyayo.
Ng’ombe anahitaji nafasi ya kulala. Mtu anapaswa kujenga idadi ya kutosha ya vyumba ili kutosheleza ng’ombe muda wote. Vyumba visivyotumika ni uharibifu wa nafasi na pesa.
Kwa idadi ya ng’ombe kwa kila vyumba, vyumba vya ziada vinahitajika kuweza kuweka ndama wadogo ( mitamba) na kadhalika.
- Ng’ombe 1 vyumba 2
- Ng’ombe 2 vyumba 3
- Ng’ombe 3 vyumba 5
- Ngombe 4 vyumba 6
- Ng’ombe 5 vyumba 7
- Ng’ombe 6 vyumba 9
Chakula ndani ya sehemu ya kulia angalau futi 3 juu ya ardhi. Weka jiwe la madini katika kila chumba kuzuia kupigana kati ya wanyama
Tags:
NG'OMBE MAZIWA
