Magonjwa
Mfugaji anatakiwa kuzingatia afya ya mnyama ili pato liweze kuwa
la kuridhisha. Hapa Tanzania magonjwa yanayosumbua nguruwe sio mengi lakini
hutokea mara kwa mara kufuatana na umri, mazingira na afya ya mnyama.
Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa yanayoshambulia nguruwe hapa
nchini.
Virusi
Huenezwa na Virusi · Nguruwe wagonjwa kuchanganyika na wasio wagonjwa · Kula chakula chenye virusi · Kupe laini |
· Homa kali
(41°C)
· Kuhema sana · Kushindwa kala na kutembea · Rangi ya ngozi hugeuka kuwa bluu au nyekundu · Kifo baada ya siku 7. · Kuharisha · Huenea kwa kasi baada ya kutokea. |
· Hakuna Tiba wala
chanjo
· Nunua nguruwe kwenye mashamba yasiyo na historia ya ugonjwa · Usafi wa vifaa, banda na mazingira yake · Nunua vyakula vilivyothibitishwa · Usitumie masalia toka sehemu zenye ogonjwa · Tumia dawa za kuua kupe. · Nguruwe wagonjwa wachinjwe. |
|
· Ukosefu wa vitamini
· Huenezwa na Viroboto, Chawa, Inzi na Utitiri |
· Kujikuna mara kwa
mara.
· Uvimbe kwenye ngozi. · Hushindwa kula vizuri · Hupungua uzito |
· Ogesha nguruwe
vizuri.
· Tumia dawa ya kuua viroboto, chawa, Inzi na utitiri · Lisha nguruwe chakula chenye vitamini na madini ya kutosha. | |
Bakteria
|
· Homakali
· Kupumua harakaharaka na kwa nguvu · Kikohozi kikavu |
· Hakuna tiba
· Kiua bakteria hutumika kuzuia nmyama kushambuliwa na magonjwa mengine. · Kuwatenga wanyama. · Nyumba iwe na hewa na joto la kutosha. | |
Virusi
· Huenea kwa kugusana mnyama mgonjwa na mzima au kula chakula chenye virusi |
· Huwa na malengelenge miguuni,
kwenye kiwele, midomoni na kooni.
· Hushindwa kula na kutembea. |
· Hakuna tiba
· Apewe ohanjo · Asipewe chakula chenye virusi · Tibu Vidonda · Karantini ya sehemu yenye ugonjwa. | |
Bakteria
|
· Uvimbe kwenye mgongo
· Kupumua kwa tabu. · Kifo cha ghafla · Damu isiyoganda hutoka katika sehemu zilizo wazi kama mdomoni, masikioni na puani. |
· Apewe chanjo
· Nguruwe mgonjwa asichinjwe na aliyekufa asipasuliwe · Mzoga uzikwe katika kina cha zaidi ya mita mbili au kuchomwa moto · Toa taarifa kwa mtaalam wa mifugo haraka | |
Virusi
· Huenea kwa haraka kutokani na mabadiliko ya hali ya hewa |
· Hudumaa
· Hukohoa · Homa kali · Hamu ya kula hupungua. · Hupumua kwa taabu · Manyoya husimama bila mpangilio. |
· Hakuna tiba wala
chanjo
· Banda liwe bora ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. · Zingatia kanuni za ufugaji bora. | |
Bakteria
· Huenea kwa mnyama kula chakula chenye bakteria hao. · Uchafu wa vifaa nabanda |
· Huharisha mharo wa kijivu
uliochanganyika na kijani
· Hupungua uzito na kuwa dhaifu |
· Usafi wavyombo na
banda
· Wape dawa aina ya Koksidiostant |
|
Protozoa
· Huenezwa na mbung’o ..................... |
· Hupungua damu
· Hukonda · Manyoya yanasimama · Huweza kufa ghafla bila dalili za ugonjwa kujitokeza. ........................ |
· Tumia madawa ya kuua
mbung’o
· Mazingira yawe safi wakati wote. ............................ |
