Sasa


SUNGURA:UFUGAJI WA SUNGURA I Mshindo media

sunguraUFUGAJI WA SUNGURA
_
√ Kama mnyama yeyote sungura anahitaji utunzaji mwema ili waweze kuzalisha kwa wingi.
_
√ Anahitaji kujengewa chumba maalum na kuangaliwa kila siku na kuhakikisha usafi wa vyumba hivi.
_
√ Na kama watoto wa binadamu pia sungura wanahitaji kupewa chakula kisafi cha hali ya juu kilicho na madini ya protini na kalsham na pia kupewa maji masafi.
_
√ Kulingana na wazalishaji wa sungura wa Marekani [American rabbit breeders association ARBA] kuna aina 47 tofauti za sungura zinazofungwa kama vile:-
_
1. Angora
2. New Zealand white
3. Californian white
4. French lop,Giant
5. Flemish
6. Dutch
7. Chinchilla rex na nyingine nyingi .
_
+ Hapa Tanzania pia kuna aina nyingi zinazo fugwa ambazo ni:-
_
• Angora
• Flemish Giant
• French lop,Chinchilla
• Callifornian white
• New Zealand white
_
Ijue nyama ya Sungura
_
Nyama ya sungura ni white meat/nyama nyeupe kama nyama ya samaki  na kuku
_
Ina kiwango kidogo cha cholesterol
_...................................................
+ Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio vizuri kwa nadharia na vitendo kupitia group letu la whatsapp
_
Previous Post Next Post