Sasa


SIFA ZA VIFARANGA WA CHOTARA,ANZA KUFUGA LEO IMshindo media

https://www.animalscience.care/
PATA VIFARANGA CHOTARA,ANZA KUFUGA LEO
Habari wapenzi wasomaji wetu,
Leo napenda kuwaletea biashara ya vifaranga wa kuku chotara.Vifaranga wa mwezi mmoja wakiwa na chanjo kama
1.NEWCASTLE
2.GUMBORO
3. NDUI,
Pia wanunuzi wa vifaranga watapewa semina fupi kabla ya kupewa vifaranga.
Picha ya hapa chini ni baadhi ya vifaranga chotara wakina na mwezi mmoja.https://www.animalscience.care/
Picha ya hapa chini ni vifaranga wa siku moja

Vifaranga hapa chini ni vifaranga wa wiki moja

https://www.animalscience.care/

 Wafugaji kutoka  katika kazi ya ukusanyaji mayai kwaajili ya kwenda kutotolesha,je unajua sifa ya mayai bora kwaajili ya kutotolesha?endelea kufuatilia mtandao wetu utajifunza sifa hizo.
https://www.animalscience.care/
hapa chini ni kuku walezi kwaajili ya utagaji mayai ili yakatotoleshwe 
https://www.animalscience.care/

hapa chini ni aina ya jogoo.

https://www.animalscience.care/

Previous Post Next Post