
SIFA ZA KUKU JOGOO NA TETEA BORA KWA KUFUGA
1. SIFA ZA JOGOO BORA
-Awe na umbo kubwa
-Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja
-Awe mchangamfu
-Apende kuwa na himaya yake. Sifa hii utaigundua pindi ukimjazia wapinzani, atakuwa anapigana badala ya kufuata matetea.
2. SIFA ZA TETEA BORA
-Awe na umbo kubwa
-Awe na uwezo wa kuatamia
-Awe na uwezo wa kulea vizuri (high mothering ability)
-Aweze kutaga mayai ya kutosha.
Tags:
UFUGAJI KUKU