KWANIN VIFARANGA WAKO HUFA,,
YAFUATAYO NI MAMBO YATAKAYO KUSAIDIA KATK KUVITUNZA VIFARANGA WAKO NA KUWA NA AFYA NZURI
YAFUATAYO NI MAMBO YATAKAYO KUSAIDIA KATK KUVITUNZA VIFARANGA WAKO NA KUWA NA AFYA NZURI
- KWANZA tambua vifaranga hupendelea kukaa juu, hivyo unatakiwa ujenge banda la ghorofa moja.
- PILI tambuwa vifaranga havipendi giza wakati wa mchana, hivyo unatakiwa unapojenga ghorofa yao hakikisha ubavu mmoja una wavu unaopitisha mwanga wa jua.
- TATU tambuwa vifaranga havitakiwi kuishi pasipo ya mama yao, hivyo hakikisha unapowatenga vifaranga usiwaache pasipo ya mama(hata kama vipo ishirini waweke na mama mmoja tu).
- NNE tambuwa vifaranga havitakiwi kupewa maji mengi, hivyo unatakiwa kuwapatia maji machache kwenye vyombo vidogo ambavyo havitaweza kumzamisha.
- TANO tambua banda la vifaranga linatakiwa maranda ili kuongeza joto.
- SITA tambuwa vifaranga vinatakiwa vifungiwe ndani kwa miezi miwili pekee.
- SABA vifaranga havitakiwi kushikwa shikwa na mikono yako kila siku.
- NANE vifaranga vinatakiwa kulishwa starter (nafaka nyembamba) na maziwa kwa kiasi.
- TISA banda la vifaranga hutakiwi kulisafisha kila siku, hakikisha unasafisha mara tatu tu kwa wiki.
................
*UJUMBE usikate tamaa katika ufugaji mana hakunaga mwanzo mrahisi, changamoto ni mapito tu, jiamini mana hata wewe unaweza.* ......................................................................................................................................
