Sasa


Umuhimu na madhara ya vitamin kwa kuku

AvitaminosisUkosefu Wa Vitamin A Kwa Kuku

Ukosefu wa vitamini‘A’ Hujitokeza baada ya kuku kukosa vyakula vyenye vitamin ‘A’ kwa muda mrefu.
 – Kuku wadogo huathirika zaidi kwa ukosefu wa vitamini ‘A’.
 Dalili za ukosefu wa vitamini ‘A’
 •Macho huvimba na kutoa uchafu mzito kama sabuni ya mche iliyolowana maji.
 • Hudhoofika na hatimaye hufa.
 Tiba na Kinga.
• Kinga ugonjwa huu kwa kuwapa majani mabichi au mchicha wakati wa kiangazi.
Upungufu wa Vitamin kwa kukuUpungufu wa Vitamin kwa kuku
 • Wape kuku vitamini za kuku za dukani wakati majani hayapatikani.
•Kwa kuku alie athirika na ugonjwa huu; msafishe na maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi, hakikisha uchafu wote unatoka  kisha mpe vitamn ya dukani unaweza tumia amin total au vitamn yeyote ile.
Fanya zoezi hilo kwa siku 5
avitaminosis
Kama una swali comment hapa chini,,,,,
ENDELEA KUTEMBELEA WEBSITE HII KILA SIKU
Previous Post Next Post