RATIBA YA UCHANJAJI (VACCINATION SCHEDULE) KWA MBWA WADOGO NA WAKUBWA
Ni muhimu sana kuanza kuzuia magonjwa kwenye umbwa wako tangu wakiwa wadogo kwa kutumia chanji tena kwa kufuata utaratibu unaopendekezwa na wataalamu wako.
Utaratibu huu hapa chini utakusaidia kujua ni lini unatakiwa kwenda kumuona mtaalamu wa mifugo ili akusaidie kuchanja mbwa wako. Tena kuna magonjwa mengi tu ya mbwa endapo hutazuia yasi mpate mbwa wako basi na wewe pia unaweza kuyapata. Mfano mzuri ni ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa. Hivyo ni vema ukaokoa maisha mbwa wako na maisha yako pia kwa kufuata taratibu nzuri za kuchanja mbwa wako.

UMRI
UGONJWA WA KUCHANJA
MAGONJWA YASIYO YA LAZIMA
WIKI 6-8
Canine Distemper, Measles, Parainfluenza
Bordetella
WIKI 10-12
DHPP (chanjo distemper, adenovirus [hepatitis], parainfluenza, and parvovirus)

Coronavirus, Leptospirosis, Bordatella, Lyme disease
WIKI 12-24
Kichaa cha Mbwa (Rabies)
WIKI 14-16
DHPP
Coronavirus, Lyme disease, Leptospirosis
MIEZI 12-16
Kichaa cha Mbwa, DHPP
Coronavirus, Leptospirosis, Boradetella, Lyme disease
KILA BAADA YA MWAKA 1-2

KILA BAADA YA MWAKA 1-3
Kichaa cha Mbwa (Kutegemea sheria ya nchi)
Tags:
UFUGAJI MBWA