Mwili Wa Kuku Kujaa Hewa: (Subcutaneous Emphysema)
CHANZO
Itilafu katka mfumo wa hewa, inayopelekea hewa kupenya na kuingia sehemu mbalimbali za mwili zisizokuwa rasmi.
MATIBABU
_Chukua sindano mtoboe minya polepole ili hewa itokea, kisha atarudi katika hali yake ya kawaida
_ Kuku mgonjwa muweke eneo lenye mwanga na hewa ya kutosha pasipo msongamano wa kuku wengine.
_Ukisha mtoboa na kumtoa hewa unaweza mpa antibiotic otc 20% or otc plus
ZINGATIA
Hali hiyo inawezakujirudia baada ya kitundu kuziba.
Hali hiyo inawezakujirudia baada ya kitundu kuziba.
&Kuna uwezekano wa kufanyiwa upasuaji ili kushonwa sehemu yenye itilafu }hii ifanywe na Doct mwenye uzoefu wa kutosha sio wewe maana wengine mtaanza kuuliza tufundishe jinsi ya kufanya upasuaji hahahaha......
Hilo tatizo tumeona wengi mkiuliza tukaamua kulijibu kwa pamoja ili kila mtu ajue kuwa huo ni ugonjwa gani.
Hilo tatizo tumeona wengi mkiuliza tukaamua kulijibu kwa pamoja ili kila mtu ajue kuwa huo ni ugonjwa gani.
Tags:
MAGONJWA YA KUKU