KUWAPA JOTO:
Mfugaji anaweza kulea vifaranga kwenye kitalu (Mduara),ambao unaweza kutengeneza kwa kutumia mbao au boksi ngumu.au unaweza kuwalea kwenye pembe moja ya kitalu au chumba ambapo utaweka vifaa vya kutunza joto.kama itatokea ukakaona vifaranga wakajikusana sehemu moja karibu na chanzo cha joto ujue joto hlitoshi, kwa hiyo utaongeza joto kwa kushusha chini taa au jiko lako ili kuongeza joto.Katika uleaji wa kitalu (mduara)mfugaji anatakiwa kufuatilia na kutambua kama hali ya joto inafaa na hivyo ufuatiliaji utasaidia kuchukua hatua mapema na endapo kuna marekebisho utayafanya haraka na kutoleta madhara kwa vifaranga.
#KAMA_JOTO_LITAKUWA_SAWA-UTAONA_YAFUATAYO.
>Vifaranga watakimbia kimbia.
>watakuwa wanachakurachakura matandazo ulio weka ndani yabanda au kitalu.
>Vifaranga watakunywa maji.
>Kuonyesha shughuli nyingi hii huonesha joto linatosha.
#KAMA_JOTO_HALITOSHI_UTAONA-YAFUATAYO.
>Vifaranga wakihisi baridi watajikusanya karibu na chanzo cha joto.
>Vifaranga watajikusanya kwenye pembe ya kitalu au nyumba ya kulelea vifaranga.
>Hulia kwa sauti ukiona hivi ongeza joto kwa kuona vitaranga wakitawanyika sehemu zote za kitalu.
#KAMA_JOTO_LIKIZIDI_UTAONA_YAFUATAYO.
>Husinzia na kuzubaa.
>Vifaranga watakaa mbali na chanzo cha joto.
>Wata achama mdomo.
#KAMA_KUTAKUWA_NA_UPEPO_UNAPULIZA_UPANDE_MMOJA_UTAONA_YAFUATAYO.
Vifaranga watajikusanya mbali na sehemu ambapo upepo unakotokea.

Tags:
UFUGAJI KUKU