Ugonjwa
huu huwaathiri wanyama wa kufugwa hata wale wa mwituni, na binadamu
hupata ugonjwa endapo atagusana na mate ya mnyama mwenye ugonjwa kupitia
kung’atwa meno au mkwaruzo kutoka kwa mnyama mwenye ugonjwa.

Dalili za mwanzo za ugonjwa ni homa, kuhisi kuchomachoma katika eneo lililong’atwa au kukwaruzwa.
Kusafisha
eneo lililong’atwa au kukwaruzwa ndani ya muda mfupi pamoja na kupata
chanjo ya kukinga ugonjwa wa kichaa cha mbwa ni njia thabiti ya kuzuia
kupata ugonjwa huu.
Wahi chanjo mapema kabla ya dalili za awali kuanza
KUMBUKA:Ugonjwa huu dalili zikishajitokeza hautibiki
Tags:
MAGONJWA