Kwa miaka mingi Duniani, shughuli za ufugaji zimekuwa zikichukuliwa kuwa ni shughuli za wazee na watu wasio kuwa na uwezo hasa waishio vijijini, huku vijana wakikimbilia kazi za kuajiriwa maofisini na kwenye biashara mijini. Kutokana na hali hii uzalishaji wa chakula na mazao ya biashara ulishuka kwa kiasi kikubwa sana, na kusababisha bei ya vyakula na mazao ya mifugo kuwa ya bei kubwa kutokana na uhaba. Hali hii pia ilisababisha kuyumba kwa uchumi katika maeneo husika. Watu wenye kipato pia wakitumia fedha nyingi kununulia chakula na mazao ya mifugo na maskini wakiendelea kuwa na maisha duni, na afya hafifu kwa kutoweza kumudu kupata lishe kamili kama inavyotakiwa. Kwa kuwa sekta hii ni muhimu na inategemewa na kila mtu ingawa haikupewa kipaumbele, hali ya uchumi mijini pia ilibadilika na kusababisha vijana walio wengi ambao walikuwa wakikimbilia humo kujipatia ajira kukosa fursa hiyo. Na hapa ndipo ule usemi usemao shida ni mwalimu mzuri ulipochukua nafasi yake. Hivi sasa, wimbi la vijana wanaofanya shughuli za ufugaji hata kilimo, limekuwa likiongezeka siku hadi siku. Hii inatokana na ukweli kwamba hii ndiyo sekta pekee ambayo ina ajira ya uhakika, na uwezekano wa kujipatia fedha kwa mwaka mzima ni mkubwa Kwa miaka mingi Duniani, shughuli za ufugaji zimekuwa zikichukuliwa kuwa ni shughuli za wazee na watu wasio kuwa na uwezo hasa waishio vijijini, huku vijana wakikimbilia kazi za kuajiriwa maofisini na kwenye biashara mijini. Kutokana na hali hii uzalishaji wa chakula na mazao ya biashara ulishuka kwa kiasi kikubwa sana, na kusababisha bei ya vyakula na mazao ya mifugo kuwa ya bei kubwa kutokana na uhaba. Hali hii pia ilisababisha kuyumba kwa uchumi katika maeneo husika. Watu wenye kipato pia wakitumia fedha nyingi kununulia chakula na mazao ya mifugo na maskini wakiendelea kuwa na maisha duni, na afya hafifu kwa kutoweza kumudu kupata lishe kamili kama inavyotakiwa. Kwa kuwa sekta hii ni muhimu na inategemewa na kila mtu ingawa haikupewa kipaumbele, hali ya uchumi mijini pia ilibadilika na kusababisha vijana walio wengi ambao walikuwa wakikimbilia humo kujipatia ajira kukosa fursa hiyo. Na hapa ndipo ule usemi usemao shida ni mwalimu mzuri ulipochukua nafasi yake. Hivi sasa, wimbi la vijana wanaofanya shughuli za ufugaji hata kilimo, limekuwa likiongezeka siku hadi siku. Hii inatokana na ukweli kwamba hii ndiyo sekta pekee ambayo ina ajira ya uhakika, na uwezekano wa kujipatia fedha kwa mwaka mzima ni mkubwaKwa miaka mingi Duniani, shughuli za ufugaji zimekuwa zikichukuliwa kuwa ni shughuli za wazee na watu wasio kuwa na uwezo hasa waishio vijijini, huku vijana wakikimbilia kazi za kuajiriwa maofisini na kwenye biashara mijini. Kutokana na hali hii uzalishaji wa chakula na mazao ya biashara ulishuka kwa kiasi kikubwa sana, na kusababisha bei ya vyakula na mazao ya mifugo kuwa ya bei kubwa kutokana na uhaba. Hali hii pia ilisababisha kuyumba kwa uchumi katika maeneo husika. Watu wenye kipato pia wakitumia fedha nyingi kununulia chakula na mazao ya mifugo na maskini wakiendelea kuwa na maisha duni, na afya hafifu kwa kutoweza kumudu kupata lishe kamili kama inavyotakiwa. Kwa kuwa sekta hii ni muhimu na inategemewa na kila mtu ingawa haikupewa kipaumbele, hali ya uchumi mijini pia ilibadilika na kusababisha vijana walio wengi ambao walikuwa wakikimbilia humo kujipatia ajira kukosa fursa hiyo. Na hapa ndipo ule usemi usemao shida ni mwalimu mzuri ulipochukua nafasi yake. Hivi sasa, wimbi la vijana wanaofanya shughuli za ufugaji hata kilimo, limekuwa likiongezeka siku hadi siku. Hii inatokana na ukweli kwamba hii ndiyo sekta pekee ambayo ina ajira ya uhakika, na uwezekano wa kujipatia fedha kwa mwaka mzima ni mkubwa
Katika ufugaji kuku kuna vitu vya kuzingati kabla hujaanza kufuga.
_Mbegu bora ya kuku
_Soko la kuku utakao wafuga
_Uzoefu kabla ya kuanzisha mradi
_Kujitoa kwa moyo wako wote katika ufugaji kuku. Ili uchukulie kama ni moja ya ajira yako katika maisha yako.
Kabla ya kuanza kufuga kuku ebu kwanza jiulize ! Kwanini umeamua kufuga kuku?
Ukisha pata jibu basi anza kujiekea malengo kiufugaji ili ufanikishe nia na lengo lako.
Kuna usemi watu wanasema ufugaji kwa tija ni mpaka uanze na kuku 500! Lakini mimi nakwambia hii Leo ufugaji kwa tija unaweza ukaanza tu na kuku 10 na baada ya miezi 6 ukawa na kuku wengi.
Katika ufugaji kuku changamoto ni
1. Magonjwa
2. Matunzo ( uzoefu)
3.Chakula
4.Soko
..........................................................................................................................
Tags:
UFUGAJI KUKU