CHAKULA BORA KWA KUKU

Chakula bora cha kuku


Tumia chakula bora na siyo tu bora chakula. Tumia chakula bora ambacho hakina madhara kwa kuku mwenyewe na hata walaji kwa ujumla.
  • Weka chakula mahali safi na salama kuepuka wadudu waharibifu kama vile panya ili kuzuia maambukizi ya magonjwa kwa kuku.
  • Tumia kanuni ya "least cost combination" yaan tumia chakula cha bei nafuu kinachotoa matokeo bora zaidi ili kupunguza gharama za ufugaji hali ambayo itakufanya upate faida mara dufu.


Kwa kufanya hivyo utaweza kuwalisha kuku wako chakula kilicho bora kwa matokeo bora zaidi bila kuyumba kiuchumi wakati wote wa ufugaji wako.
Previous Post Next Post