JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA
KUKU.
Somo hili ni
mahususi kwa ajili ya wafugaji wote wa kuku, au kwa wale wote ambao
wanapenda kufuga kuku. Kwani mfumo huu ni mzuri na humsaidia mfugaji kuweza
kutengeza chakula ambacho kina virubishio vyote ambavyo ni muhimu kwa kuku.
JINSI KUANDAA CHAKULA CHA KUKU
KUANZIA WIKI LA 1- HADI WIKI LA 8.
Mahitaji.
1. Pumba 60kg
2. Mahind ya kuparaza
10kg
3. Mashudu alizeti
10kg
4. Dagaaa 15kg
5. unga wa mifupa 5kg
6. Chumvi ½
7. premix ¼
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo
changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
CHAKULA CHA KUKU, KUANZIA WIKI LA
NANE NA KUENDELEA.
Mahitaji
1. Pumba ya mahindi yenye chenga- kg
38
2. Mashudu ya alizeti- kg 7.5
3. Mabaki ya dagaa - kg 1.5
4. Chokaa ya kuku - kg 0. 5
5. Unga wa mifupa - kg 0.5
6. Lusina - kg 2
7. Chumvi - kg 0.25
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo
changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula
Tags:
CHAKULA CHA KUKU