Jifunze kutunza kumbukumbu katika kufuga

Utunzaji kumbukumbu za ufugaji
Utunzaji wa kumbukumbu

Uwekaji wa kumbukumbu ni muhimu sana kwa kila mfugaji. Kumbukumbu zinasaidia

katika kujua mambo mengi kama matukio ya magonjwa, tiba, chanjona uogeshaji,

gharama za uendeshaji kama gharama za madawa ya tiba, chanjo na uogeshaji, mishahara

ya wafanyakazi, faida au hasara baada ya mauzo. Kumbukumbu hizi humsaidia mfugaji

kufanya maamuzi katika uendelezaji wa Shamba Lake.

22


Kumbukumbu muhimu katika ufugaji wa ng’ombe ni pamoja na idadi ya ndama

wanaozaliwa, idadi ya ng’ombe,afya ya ng’ombe,kumbukumbu ya mapato na matumizi.

Hata hivyo mfugaji anaweza kuongeza kumbukumbu nyingine kulingana na mahitaji na

shughuli zake.

·        1. Kumbukumbuya Ndama wanapozaliwa

Namba ya ndama
Tarehe ya kuzaliwa
Jinsi
Aina/na y a dume
Aina /nay a jike
Tarehe ya kuachishwa kunyonya
Maelekezo

































·        2. Kumbukumbuya afyaya ng’ombe

·        3. Kumbukumbuya idadi ya ng’ombe 
Kumbuka;Cash book:ni kitabu ambacho hurekodi taarifa zinazohusiana na fedha tasilimu au fedha zilizo bank ,yaani kuweka na kutoa/kulipa na kupokea
............................................................................................................................................................


Previous Post Next Post